Saturday, March 21, 2015

'TAARIFA KWA UMMA
mwami Zitto Kabwe . Kesho tarehe 22-3-2015
atazungumza na waandishi wa Habari.
Tukio Hilo muhimu na la kihistoria litafanyika
SERENA HOTEL kuanzia saa Tano Kamili asubuhi.
Tafadhali fika bila kukosa kupata kujua
mustakabali wa siasa za kweli Tanzania.
Imetolewa na idara ya Habari ya Mzalendo Zitto
Zuberi Kabwe...'
TAARIFA KWA UMMA
mwami Zitto Kabwe . Kesho tarehe 22-3-2015
atazungumza na waandishi wa Habari.
Tukio Hilo muhimu na la kihistoria litafanyika
SERENA HOTEL kuanzia saa Tano Kamili asubuhi.
Tafadhali fika bila kukosa kupata kujua
mustakabali wa siasa za kweli Tanzania.
Imetolewa na idara ya Habari ya Mzalendo Zitto
Zuberi Kabwe...

No comments:

Post a Comment