TANGAZO
KUTOKA: SELIKALI YA WANAFUNZI (TAPSSO)
KWENDA: WANAFUNZI WOTE WA WAPYA WA NGAZI YA CHETI
MUHULA WA KWANZA(1)
TAREHE: 09/04/2014
YAH: VITAMBULISHO
WANAFUNZI WOTE WAPYA WA NGAZI YA CHETI MJIANDAE KWAAJILI YA
ZOEZI LA KUPIGA PICHA KWA AJILI YA VITAMBULISHO.
ZOEZI LA KUPIGA PICHA LITA ANZA SIKU YA JUMATATU TAREHE 13/04/2015
TAWI LA MSIMBAZI CENTRE.
KWA WALE WA MAGOGONI (MAIN CAMPUS) WATAPIGWA PICHA MAIN
CAMPUS KWA TAREHE WATAKAYO TANGAZIWA BAADA YA KUMALIZA MSIMBAZI CENTRE.
KILA MWANAFUNZI ATA PIGWA PICHA KULINGANA NA SHIFTI YAKE.
WANAFUNZI MNAOMBA MSIKOSE KWASABABU NIMUHIM NA MZINGATIE
MUDA NA KWAWATAKAO KOSA MUDA HUU ULIO PANGWA HAMTAPATA MUDA MWINGINE. HIVYO ITA
PELEKEA KUKOSA KUFANYA MITIHANI.
…………………………………
REHEMA A. MBONDE
WAZIRI WA HABARI NA MAWASILIANO (TAPPSO)
No comments:
Post a Comment